Michuano
ya ligi ya mabingwa barani Ulaya inaingia mzunguko wa pili hii leo kwa
mechi za marudiano ambapo mabingwa watetezi Real Madrid watakuwa
nyumbani Santiago Bernabeu kukipiga na Liverpool..ambayo katika mechi ya
awali ilikubali kichapo cha fedheha nyumbani Anfield.
wakiwakaribisha Anderletch ya Ubelgiji ilhali Juventus ya Italia wakikiputa na Olympiakos ya Ugiriki. Hapo kesho Manchester City watakwaruzana na CSKA Moscow ya Urusi dimbani Etihad,FC Bayen Munchen watachuana na AS Roma…wakati ambapo Ajax Amsterdam watapambana na FC Barcelona..na Paris St Germain watacheza na Apoel Nicosia.
