Davido tayari maevuna tuzo mbalimbali zilizotolewa hivi karibuni amenunua ndege hiyo ili kurahisisha safari zake, kwa sasa ataenda kwenye shoo na ndege yake binafsi, mafanikio hayo ni makubwa kwa mwanamuziki huyo ambaye amibukia hivi karibuni.
Davido hakuwa maarufu kama ilivyo kwa nyota wenzake P-Square ambao wanafahamika duniani kote, kuibuka kwa Davido kumezua mshangao mkubwa nchini mwake kwani kmipoindi cha nyuma alionekana Underground.
Baada ya kununua ndege kwa msanii huyo, Diamond Platinum ambaye naye amekuwa na mafanikio mazuri kwa vyovyote imemshitua taarifa hiyo na huenda naye akajipanga na kununua ya kwake
Chanzo Staa wa leo
