Msanii wa taarabu anaefanya vizuri kwa sasa nchini tanzania Isha Ramadhan wa makongo, amechaguliwa na wasomaji wa ubuyuwa taarabu kwamba yeye kwa sasa ndio msanii anae fanya vizuri mno kuanzia video zake mpaka nyimbo zake za audio zinazovyotamba ktk vituo mbalimbali vya redio nchini tanzania.
Akitoa maoni yake ramadhan kassim wa keko mwanga alisema kuwa isha ni msanii ambae ananivutia sana na nimeanza
