Wednesday, August 27, 2014

Diamond apendekezwa kwenye tuzo nyingine ya kimataifa

Diamond Platnumz na Dabo wamependekezwa kuwania tuzo za kimataifa za International Reggae And World Music Awards 2014IRAWMA) kupitia wimbo wake mpya wa Mdogo mdogo uliotoka hivi karibuni.


Diamond anachuana na akina Davido na Awilo Longomba katika kipengele cha best African
Song/entertainer.

Kwa upande mwingine Dabo pia kutoka Tanzania amependekezwa kuwania tuzo katika kipengele cha Best new entertainer. Upigaji kura tayari umeanza ingia hapa IRAWMA VOTING kwapigia kura Diamond na Dabo ili kuiletea sifa Tanzania